Ilivyokuwa kwenye Fiesta 2016 Dodoma, #Imooo! - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 17 September 2016

Ilivyokuwa kwenye Fiesta 2016 Dodoma, #Imooo!

Dodoma umeongezeka kwenye list ya mikoa yenye mapokezi ya shangwe kwa FIESTA2016, watu walikuwepo uwanjani toka saa saba mchana wakati show imeanza jioni September 16 na kweli Dodoma wameonyesha waliimiss Fiesta ambayo mwaka 2015 haikuwepo.
3x6a1042-1
3x6a1578
Jux
3x6a1047
Mussa Hussein kutoka Leo Tena ya CloudsFM
3x6a1590
Ben Pol
3x6a1064
B12
3x6a1664
Darasa
3x6a1120
3x6a1693
Mr. Blue
3x6a1217
Baraka The Prince
3x6a1252
3x6a1351
Fid Q
3x6a1402
Ben Pol Dodoma ndio nyumbani…. mwenye boma lake kawasili
3x6a1455
Haiwezekani Fiesta ifanyike Dodoma alafu Waheshimiwa waikose, Waziri wa michezo Nape Nnauye alipanda mpaka kwenye stage
3x6a1501
Maua Sama kazini
3x6a1546
Bushoke