Heshima
ya mshambuliaji, Mbwana Samatta inazidi kupanda katika kikosi chake cha KRC
Genk ya Ubelgiji na sasa achukuliwa kama moja ya wachezaji muhimu zaidi klabu
hapo.
Hiyo
inatokana na Samatta kuwa miongoni mwa wafungaji mahiri kwenye ligi ya
Ubelgiji, Pro League, na tayari ana mabao manne.
Wakati
anasajiliwa na Genk akitokea TP Mazembe ya DR Congo, haikuwa rahisi kuona
Samatta akiwekwa kwenye matangazo muhimu ya Genk (Poster).
Kutumika kwenye matangazo ni sehemu ya kuonesha una mvuto au
unakubalika. Jambo ambalo ni bora kwa Samatta na anachotakiwa ni kuongeza tu
juhudi.
Ikumbukwe kwamba Genk alifuzu kucheza hatua ya makundi ya Uefa
Europa League msimu huu na walipangwa kundi F na timu kubwa kama Athletic Club
ya Hispania (kama inavyoonekana chini na ratiba ya mechi zenyewe).
Tayari Genk wameanza kuzitangaza mechi zao kwa kutumia wachezaji
wao muhimu akiwemo Mbwana Samatta (Tazama picha juu).
Credit:Mpenja sports.com
Heshima
ya mshambuliaji, Mbwana Samatta inazidi kupanda katika kikosi chake cha
KRC Genk ya Ubelgiji na sasa achukuliwa kama moja ya wachezaji muhimu
zaidi klabu hapo.
Hiyo inatokana na Samatta kuwa miongoni mwa wafungaji mahiri kwenye ligi ya Ubelgiji, Pro League, na tayari ana mabao manne.
Wakati
anasajiliwa na Genk akitokea TP Mazembe ya DR Congo, haikuwa rahisi
kuona Samatta akiwekwa kwenye matangazo muhimu ya Genk (Poster).
Kutumika
kwenye matangazo ni sehemu ya kuonesha una mvuto au unakubalika. Jambo
ambalo ni bora kwa Samatta na anachotakiwa ni kuongeza tu juhudi.
Ikumbukwe
kwamba Genk alifuzu kucheza hatua ya makundi ya Uefa Europa League
msimu huu na walipangwa kundi F na timu kubwa kama Athletic Club ya
Hispania (kama inavyoonekana chini na ratiba ya mechi zenyewe).
Tayari Genk wameanza kuzitangaza mechi zao kwa kutumia wachezaji wao muhimu akiwemo Mbwana Samatta (Tazama picha juu).
- See more at: http://www.barakampenja.com/2016/09/heshima-ya-mbwana-samatta-yakua-kwa.html#sthash.IxH0YSCa.dpuf