Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds MEDIA Mh. Ruge Mutahaba akizungumza na Wasanii wa Mkoa wa DODOMA.
Baadhi ya Wasanii wa Dodoma waliojitokeza kwenye Semina ilioandaliwa na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh. Antony Mavunde kwa Lengo la Kutoa Fursa kwa Wasanii wa Dodoma Kujua Changamoto