NIMEKUSOGEZEA HAPA VIDEO MPYA KUTOKA KWA MEDDY BOTION INAITWA 16 BARZ, NI HATARI ASEEE!! - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 16 September 2016

NIMEKUSOGEZEA HAPA VIDEO MPYA KUTOKA KWA MEDDY BOTION INAITWA 16 BARZ, NI HATARI ASEEE!!


 
Meddy Botion ni moja wasanii wakali wa Hip Hop ambao wanafanya mziki katika mkoa wa Morogoro ameachia video yake mpya ya single yake inaitwa 16 Barz iliyofanywa na kampuni ya Mirror Image .

Ukiwatoa baadhi ya wasanii wakali wa Hip Hop kutoka Moro akina Afande Sele, Stamina, Joh Maker, Mash J basi jina la Meddy Botion linaambatana na list hiyo kutokana na kipaji alichokuwa nacho akighani mashairi kwa ubunifu wa hali ya juu

Itazame hapa chini video hiyo