
Ukiachana na kuwa ni mji mkuu wa taifa la Tanzania tu, Dodoma vilevile ndio makao makuu ya kundi la muziki la Central Zone, kundi ambalo anatoka mkali Moni.
Na kwenye hii Vanilla & Strawberry amemsogeza mshkaji wake Geof Master na kwa pamoja wameweza kuikamilisha hii. Enjoy nayo.