HII HAPA ILE COLABO YA BARAKA DA PRINCE NA ALI KIBA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 11 September 2016

HII HAPA ILE COLABO YA BARAKA DA PRINCE NA ALI KIBA

Baraka Da Prince & Alikiba - NISAMEHE
Kupitia akaunti ya Instagram ya Baraka Da Prince ameweza kuweka wazi kuwa Tarehe 13/10/2016 itakuwa ni siku pekee ya kuachiwa kwa wimbo ambao amefanya na Msanii Ali Kiba na kupewa jina "NISAMEHE".