Ajali mbaya yatokea maeneo ya Mapinga Darajani njia ya Bagamoyo Road ikihusisha magari 4 yakiwemo Land Rover, ist, Scania la mchaga, na Nissan Patrol, chanzo cha ajali inasemekana Scania la Mchanga ndio chanzo cha ajali hiyo...
Mpaka sasa wamefariki watu 5 inasemekana kunabaadhi ya watumishi wa bagamoyo walikuwepo kwenye ajali hiyo ila bado hatuja pata habari zao kamili..
Mpaka sasa wamefariki watu 5 inasemekana kunabaadhi ya watumishi wa bagamoyo walikuwepo kwenye ajali hiyo ila bado hatuja pata habari zao kamili..