RAY C: NAIPENDA SANA SAUTI YA RECHO - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 22 July 2013

RAY C: NAIPENDA SANA SAUTI YA RECHO

Kupitia kwenye mtandano wake wa instagram Ray C ameandika#Dogo Langu Kazini,kwasababu ananipenda na kunikubali lazima tutaimba wote wimbo mmoja for you guys cz hata mimi penda sauti yake sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!