HII NDIO NYIMBO MPYA YA DIAMOND PLATNUM INAYOZUNGUMZIA KIFO CHAKE - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 22 July 2013

HII NDIO NYIMBO MPYA YA DIAMOND PLATNUM INAYOZUNGUMZIA KIFO CHAKE


Msanii anayefanya vizuri sana kwa sasa Afrika mashariki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amezungumza maneno mazito aliyokiri huwa yanamtoa machozi, ni mambo yanayohusiana na ‘kifo chake’!. Dakika chache zilizopita hit maker huyo wa ‘Kesho’ ame post picha Instagram yenye sura yake na maswali yanayouliza nini kitatokea baada ya kifo chake. Tazama picha hiyo inazungumza yenyewe Picha hiyo ilisindikizwa na caption hii 

 “One of my songs,always gets me crying whenever I listen to it, how I wish u would hear it, but then again I have no clue as to when I will release it… #WCB”  

Platnumz amekaa kimya bila kutoa wimbo mpya kwa muda sasa, je unahisi kuna uwezekano ‘KAMA NIKIFA KESHO’ ukawa ndio ndio wimbo mpya anaotegemea kuachia hivi karibuni? Tusubiri tuone!