Clouds Media yasimamisha vipindi vyake vyote vya TV na Radio - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 7 May 2017

Clouds Media yasimamisha vipindi vyake vyote vya TV na Radio

Taarifa imetokea Clouds Media makao makuu Dar es salaam ambapo vyombo vyake vyaCloudsFMChoiceFMCloudsTV havitorusha vipindi vyake kama ilivyozoeleka kila siku.
Sababu kubwa za kufanya hivyo kuanzia leo Jumapili mpaka Jumanne usiku ni kuungana na Watanzania kuomboleza vifo vya watu 32 wakiwemo Wanafunzi 29 ambao wamepoteza maisha kwenye ajali ya Basi dogo la Shule Karatu Arusha.