Miongoni mwa video mpya zilizonifikia ni pamoja na hii aliyoshirikishwa Harmorapa na Ronei, ngoma ni ya msanii Kriticos ambaye ni Mtanzania anayeishi Ubelgiji na production imefanywa na P-funk Majani. Read more