Yusuf Manji amethibitisha kujiuzulu rasmi klabuni hapo, akizungumza kupitia kipindi cha Sport Hq cha E Fm amesema taarifa za barua inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni za kweli. Zaidi nimekuwekea hapa chini sauti yake, akizungumza Read more