Utani wa Stan Bakora kuhusu upandaji miti October 1 - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 9 September 2016

Utani wa Stan Bakora kuhusu upandaji miti October 1

October 1, 2016 ni siku maalum iliyopangwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupanda miti Dar es Salaam, sasa kauli hiyo imemfikia mchekeshaji Stan Bakoraambae leo ametuletea huu utani wake wa upandaji miti.
Unaweza ukabonyeza play hapa, ukishamaliza sio mbaya ukatuachia comment yako ili akipita aone kutoka kwa watu wake
ULIIKOSA HII YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAZIRI MWAKYEMBE NA PROFESA