Unamjua Mzee mwenye Umri Mkubwa zaidi Duniani? Ana Miaka 145 Alitamani kufa toka ana miaka 122, Soma zaidi - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 7 September 2016

Unamjua Mzee mwenye Umri Mkubwa zaidi Duniani? Ana Miaka 145 Alitamani kufa toka ana miaka 122, Soma zaidi


Intimate daily life photos have emerged of an Indonesian man who claims he is the world's oldest at an incredible 145 years
Ila story ya kusikitisha zaidi ni kwamba anatamani kufa kwasasa, alianza kujiandaa kwa kifo mwaka 1992 alipokuwa na miaka 122 kwa kujiandalia Jeneza n.k. ila hajafa mpaka leo.


According to documentation recognised by Indonesian officials, Mbah Gotho was born on December 31, 1870
Wajukuu zake wakimhudumia chakula

Ni mzee ambaye alikuwa na wake wanne (4) na pia alikuwa na watoto 10, ila wote walishakufa , toka mwaka 1988 hakuwa na wake wala watoto toka mwaka huo na toka muda huo analelewa na wajukuu wake.

Anasema kuwa katika maisha yake huwa anakula kila aina ya chakula, na hajawahi kuumwa katika maisha yake.

The new images show the man eating, drinking and spending time with family members
Hapa akinywa maji

Suryanto, Mbah Gotho's grandson, said his grandfather has been preparing for his death ever since he was 122, but it never seemed to come
jeneza ambalo alitengeneza miaka takribani 24 iliyopita