
Manchester City wanaongoza ligi kuu kwa sasa nchini England wakiwa na alama 15 wakicheza michezo mitano bila hata ya kupoteza mchezo mmoja na leo walikuwa wana shughuli ya kupiga picha kwa kikosi chao kinachotumika katika msimu huu nchini humu.

Picha hizo zilizopigwa leo zilikuwa zinatambulisha wachezaji,bechi la ufundi na cabinet nzima ya klabu hiyo.
