RC Paul Makonda alivyozindua muonekano wa madereva Bodaboda - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 18 September 2016

RC Paul Makonda alivyozindua muonekano wa madereva Bodaboda

.
.
Ni Sept 18, 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua chama cha waendesha Bodaboda na Bajaji kwa mkoa wa Dar es Salaam.Ambapo kwenye uzinduzi huo uliambatana na mpango wa muonekano mpya wa madereva ikiwemo Kofia mpya (Helmentza kisasa).
Katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam Mkuu huyo aliwataka waendesha Bodaboda kuwa mabalozi wa wenzao wanaovunja sheria za Barabara kwa kupakiza abiria zaidi ya mmoja ‘Mshikaki”
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.