Picha : WAZIRI MKUU AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJJ JIJINI DAR ES SALAAM - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 12 September 2016

Picha : WAZIRI MKUU AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJJ JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hotuba katika swala ya Idd El Hajj iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.

Swala ikiendelea. 

Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo. 

Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Hajj 

Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo. 

Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo. 


Waumini wa dini ya kiislam wakiswali. 

(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)