Picha 10 Kile Kinachoendelea Hapa STENDI YA MKOA DODOMA na Team nzima ya TIGO FIESTA 2016 - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 15 September 2016

Picha 10 Kile Kinachoendelea Hapa STENDI YA MKOA DODOMA na Team nzima ya TIGO FIESTA 2016

Mtangazaji wa Kipindi cha LEO TENA cha CLOUDS FM Mussa Husseni akizungumza na Wakazi wa Dodoma Mjini juu ya Fiesta na Kutoa Fursa kwa Wakazi wa Dodoma kutizama Show za FIESTA zilizopita Mwaka Huu 2016




Baadhi ya Wasanii wa Dodoma waliojitokeza kuonyesha LOVE na vipaji vyao kwenye Viwanja vya STENDI YA MKOA.