Hali ya mlinda mlango wa klabu ya Mtibwa suger Said Mohammedi "Nduda" imetajwa kuendelea vizuri baada ya kuondolewa POP kwenye goti lake.
Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo ni kuwa licha ya maendeleo ya majeraha yake kuwa vizuri, bado hajaanza mazoezi na wachezaji wenzake.
Ikumbukwe kuwa jumamosi kikosi cha wakatamiwa hao kiliwabanjua Kagera Suger bao 2-0 katika raundi ya Tano ya michuano ya ligi kuu vodacom Tanzania bara
Tazama Highlight za mechi ya Mtibwa Suger Vs Kagera Suger