Kiongozi wa ACT- Wazalendo alivyojitangaza kuachia uongozi wake mbele ya waandishi wa habari.. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 21 April 2016

Kiongozi wa ACT- Wazalendo alivyojitangaza kuachia uongozi wake mbele ya waandishi wa habari..


.Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Mama Anna Elisha Mghwira (Katikati) ni Katibu Mkuu wa chama hicho Samson Mwigamba ambaye ameng’atuka katika nafasi yake ya uongozi kuelekea masomoni
Kufuatia hatua ya kung’atuka kwa katibu Mkuu, kamati ya Uongozi imeiagiza kamati ya Chama ya Mafunzo na Uchaguzi ianze mchakato wa kumpata katibu Mkuu mpya kwa kuzingatia katiba na kanuni za uchaguzi wa chama – Anna Elisha Mghwira