CHECK PICHA MAISHA YA BILIONEA WA BONGO NA MKE WAKE - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 21 April 2016

CHECK PICHA MAISHA YA BILIONEA WA BONGO NA MKE WAKE

Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.
Bata mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...