WATU WANNE WAMEKUFA PAPO HAPO KATIKA AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA MAPINGA WILAYA YA BAGAMOYO MKOANI - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 21 March 2016

WATU WANNE WAMEKUFA PAPO HAPO KATIKA AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA MAPINGA WILAYA YA BAGAMOYO MKOANI


Page Liked · 24 mins · Edited 
 
#Habari:Watu wanne wamekufa papo hapo katika ajali iliyotokea eneo la Mapinga wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya magari matatu yaliyokuwa yamebeba watumishi wa Halmashauri,waliokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa TAMISEMI kugongana na Lori.