MATUKIO BUNGENI DODOMA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 18 May 2015

MATUKIO BUNGENI DODOMA

1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge  kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 18, 20154, Victor Mwambalaswa wa Lupa, Sylvester Mabumba  wa  Dole na Dkt. Hamisi Kigwangalla wa Nzega.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 18, 2015.