BAADA YA NYUMBA YAKE KUTEKETEA KWA MOTO , MC MWANGATA AWASHUKURU WANA DODOMA NA KUOMBA MSAADA ZAIDI KWENYE KIPINDI KIGUMU ALICHONACHO. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday 10 March 2015

BAADA YA NYUMBA YAKE KUTEKETEA KWA MOTO , MC MWANGATA AWASHUKURU WANA DODOMA NA KUOMBA MSAADA ZAIDI KWENYE KIPINDI KIGUMU ALICHONACHO.

 Kupitia Facebook page ya Mc Maarufu na Mkongwe MC MWANGATA ameweka maneno ya Shukrani kwa Wana Dodoma walioguswa na Tatizi lake la kuunguliwa na Nyumba Juzi Mkoa Dodoma

"Hivi ndivyo nyumba yangu ilivyo.

Asanteni ndugu jamaa na marafiki mnaotusaidi chakula na pakulala asanteni sana pia nawale walioanzisha mchakatowa kuijenga tena nyumba japo kipatikane kivuri mungu awabariki ila nifungue milango kwa yeyote ukiweza kunisaidia chochote kile nisaidie nitumie chochote hata kiwe kidogo kitanisaidi unaweza tuma kwa mpesa au kuwasiliana nami kwa namba hii 0754316692 
Mungu awabariki nisaidieni wapendwa"