SHUHUDIA AJALI YA TOYOTA HAICE ILIYOUWA WATU TISA NA KUJERUHI WENGINE TISA SHINYANGA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 25 November 2014

SHUHUDIA AJALI YA TOYOTA HAICE ILIYOUWA WATU TISA NA KUJERUHI WENGINE TISA SHINYANGA




Toyota haice yenye namba za usajili T761 CKD iliyokuwa ikitoka wilayani Kahama kuelekea mjni Shinyanga ikiwa imepinduka katika eneo la Buhangija manispaa ya Shinyanga na kuuwa watu tisa na kujeruhi wengine tisa,baada ya kupinduka mara tatu baada ya kuvuka tuta kisha kugonga daraja na kuangukia mtaroni,chanzo chake ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo Anwar Awadhi mkazi wa Lubaga Shinyanga aliruka na kukimbia.

Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.