DJ. HERO ALAIN WA STOCKHOLM SWEDEN.
HYPER MAN PRINCE ZE BEST-GÖTEBORG SWEDEN
INTERNATIONAL RAGGAE&DANCEHALL ARTIST-KABOKU TANZANIANO. GBG-Sweden
DJ RICHIE & DJ HERO ALAIN FROM STOCKHOLM-SWEDEN
SUPPORTERS FROM SWEDEN
FLOWERS FROM SWEDEN
OMMY DIMPOZ AKIPAGAWISHA MASHABIKI ZAKE
MASHABIKI WAKIFATILIA SHOW YA OMMY DIMPOZ
Mnamo tarehe 1 mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2014,msanii maarufu toka Tanzania wa muziki wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Ommy Dimpoz.
Alitua ramsi kwenye bara la ulaya na kuanza ziara ya maonyesho sehemu na miji tofauti kuzunguka bara zima la ulaya,ambapo kwa tarehe 1 novemba alianza kwa kufanya onesho ndani ya jiji la Rotterdam nchini Uholanzi chini ya kampuni mama ya burudani ijulikanayo kwa jina la Biboze Ent.
Aliendelea kuzunguka na nchi zingine mfano Belgium,Germany nk, onyesho lake hili lililofana zaidi nchini Sweden ndilo ilikuwa la mwisho kwenye mzunguko wake huu wa bara la Ulaya na anarejea Tanzania wiki hii kuendelea na maisha ya nyumbani.
Kitu kimoja ambacho hatokisahau Ommy ni kuhusu waandaaji wa Tamasha la mwisho nchini Sweden..Biorn Production Studios ambao pia ni wamiliki wa studios zilizopo Dodoma,Tanzania kwa Jina hilo hilo pale eneo la maili mbili,ambao wamefanya vema kwa upande wao kuhakikisha kila kitu kinakwenda kwa muda kuanzia kwenye malipo,show na vingine viliyosalia.
Kwa mujibu wa maelezo ya ceo wa Biorn production studios zilizopo nchini Sweden Mr.Danny X show hii imefanyika tarehe 15 mwezi Novemba 2014 kwenye ukumbi wa Rågsvedtorget-Folkets hus,Stockholm-Sweden.
Palikuwa na wasanii waliotangulia kufungua show kabla yake,ni wasanii waishio sweden ila wenye asili ya Tanzania. Kaboku Tanzaniano, Adam Kanyama na kundi la wasanii la Black Curtains.
Picha zote kwa hisani ya Biornproduction.
MASHABIKI WAKISHANGILIA KWA VIFIJO SHOW YA OMMY DIMPOZ
SHANGWE NA NDEREMO VILISIKIKA KILA KONA YA UKUMBI
MASHABIKI WAKIFUATILIA ONESHO KWA UKARIBU NDANI YA UKUMBI
FURAHA NA NDEREMO VILITAWALA NDANI YA RÅGSVED HUKO SWEDEN
DIMPOZ AKILITAWALA JUKWAA
MREMBO AKISEREBUKA NA OMMY DIMPOZ
SHABIKI AKIELEZEA HISIA ZAKE KWA MZIKI
FURAHA ILITAWALA PANDE ZOTE ZA UKUMBI NCHINI SWEDEN
MSANII WA HIP HOP-ADAM KANYAMA MWENYE ASILI YA TZ&SWEDEN
KABOKU TANZANIANO NA CEO WA BIORN PRODUCTION-DANNY. X
CEO-DANNY X, OMMY DIMPOZ NA KABOKU TANZANIANO-RAGGAE ARTIST
SHABIKI AKIJIACHIA NA OMMY DIMPOZ
MSURURU WA MASHABIKI WAKATI WAKIINGIA UKUMBINI
SIR MWALUBADU TOKA NORWAY OSLO AKIJIACHIA NA SHABIKI TOKA SWEDENDJ' PREDD PRO-1LOVE MUSIC SOUND TOKA OSLO,NORWAY.
KUNDI LA MZIKI LA BLACK CURTAINS-PUZZO LEE & MAU GADO
SHABIKI AKIENDA SAWA NA OMMY DIMPOZ JUKWAANI
MASHABIKI WALIENDELEA KUJITOKEZA KWA KUCHEZA