BREAKIN NEWS:WANACHUO WA ST JOHN DODOMA WAANDAMANA HIVI SASA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 26 November 2014

BREAKIN NEWS:WANACHUO WA ST JOHN DODOMA WAANDAMANA HIVI SASA


WANACHUO cha chuo cha st john cha mkoa wa dodoma wamepanga kufanya maandamano ya amani hii leo yanayoanza majira ya saa tatu kamili za asubuhi kuelekea bungeni kwa lengo la kupinga fedha ambazo zimechukuliwa katika sakata la escrow wakati wao wanafunzi wakilia mikopo huku serikali ikitoa asilimia 51 ya mikopo.

Akizungumza katika kipindi cha fahari africa hii leo kinachorushwa kila siku za wiki asubuhi amesema kuwa wanatarajiwa kuanza rasmi maandamano hayo kuanzia saa tatu kamili za asubuhi na teari wameshatoa taarifa kwa jeshi la polisi kuwa wanaandamana asubuhi ya leo..

taarifa zaidi itafuata

Source: VITUS BLOG DODOMA