JUHUDI ZA KUMUOKOA MTOTO MWENYE RISASI KICHWANI KENYA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday 26 March 2014

JUHUDI ZA KUMUOKOA MTOTO MWENYE RISASI KICHWANI KENYA

Mtoto aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio lililofanywa kwenye kanisa la JOY OF JESUS Likoni Mombasa Nchini Kenya jumapili amefikishwa jijini Nairobi kwa Ndege .
Satrin Osinya mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kichwa katika Hospitali kuu ya Kitaifa ya Kenyatta ili kuondoa risasi iliyoingia kwenye ubongo wake baada ya kumuua mama yake .
SIKILIZA TAARIFA HII YA BBC KUTOKA KENYA