Vijana
wameamua kujiajiri bwana.. huyu brother amefika ofisini kwetu leo,
anasema anavipaji vingi sana, kama kupaamba nyumba za watu, kurekebisha
bustani, kuchekesha, kuimba na hata kutangaza.. ila kingine yeye ni
mbunifu wa mavazi, na kwa taarifa yako tu, NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA
kiatu alichokivaa kina kilo 8... khatariii sana!! Aya bhana nikutakie
siku njema
Source: Emmanuel Likuda CLOUDS FM