Bongo flava artist ommy dimpoz
amefunguka sababu ya ngoma yake ya tupogo kutofanyiwa video mpaka leo licha ya
kuwa ni moja kati ya collabo kubwa kuwahi kufanywa kati ya msanii wa bongo na
msanii mkubwa hot in afrika, coz aliifanya na j martins,kama zilivyo ngoma zote
za ommy dimpoz kuwa zinafanyaga vizuri hata tupogo haikupata shida kutop up
hadi nafasi ya kwanza kwenye chat mbalimbali ikiwemo clouds fm top 20, wengi
tulitegemea video yake ingefanyika fasta, na pengine ingemuweka ktk ramani ya
muziki wa afrika, angeonekana kama sasa diamond anavyofanya vizury zaidi baada
ya collabo yake na davido,sasa dimpoz ameelezea sababu za tupogo ku delay na
pia ommy dimpoz akafunguka kuhusu tour ndefu anayotarajia kuanza siku nyingi
ndani na nje ya nchi.
CHANZO: http://www.cloudsfm.co
