Jay Dee Atiwa Hatiani, Atakiwa Amuombe Radhi Ruge wa Clouds FM - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 2 November 2016

Jay Dee Atiwa Hatiani, Atakiwa Amuombe Radhi Ruge wa Clouds FM


Mahakama ya Wilaya Kinondoni imemtia hatiani mwanamuziki nyota wa kike nchini Judith Wambura (Lady Jay Dee) kwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba.Tokeo la picha la lady jaydee