MASANJA AMWOMBEA NA KUMPA RAIS MAGUFULI STYLE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 31 October 2016

MASANJA AMWOMBEA NA KUMPA RAIS MAGUFULI STYLE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU.

Mchekeshaji Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji siku zote haishiwagi vionjo vya maneno ya kufurahisha, iwe kuongea hata wakati mwingine tembea yake tu ni lazima ucheke.

Sasa leo nakukutanisha naye kwenye hii video hapa chini akimpa Rais Magufuli Stylempya ya kutumbua Majipu na mwisho kumuombea.
By Chief Hope