KUTANA NA WATOTO 3 MAPACHA WA JOHN LISU - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 31 October 2016

KUTANA NA WATOTO 3 MAPACHA WA JOHN LISU

Labda umekuwa ukitamani kujua mengi kuhusu maisha na familia ya John Lisu. Unataka kufahamu ilikuaje hadi mke wa John Lisu kujifungua mapacha wa Tatu? Unajua John Lisu hutumia muda wake kumsaidia mkewe (Nelly) kulea watoto? Nimekusogezea Video (Interview) toka Jt Tv ikielezea yote hayo, itazame Video hapa chini.
By Chief Hope